International,Transfer News,Tottenham,

Tottenham Waanza Mazungumzo na kocha De Zerbi Mapema

Xtra 90 Media By Xtra 90 Media
β€’
30 Mar 2026
Tottenham Waanza Mazungumzo na kocha De Zerbi Mapema

Klabu ya Tottenham Hotspur inatarajiwa kuanza mazungumzo rasmi na kocha Roberto De Zerbi kuhusu uwezekano wa kusaini mkataba wa miaka mitano kuinoa timu hiyo.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka Sky Sports, uongozi wa Tottenham umeweka wazi kuwa unahitaji suluhisho la kudumu kwenye nafasi ya ukocha kufuatia kuondoka kwa Igor Tudor, na si mpango wa muda mfupi.

Ripoti zinaeleza kuwa Spurs wanasukuma kwa nguvu kufanikisha dili hilo mapema iwezekanavyo, wakijaribu kupata idhini ya De Zerbi kuanza kazi mara moja, licha ya awali kumtazama kama chaguo la majira ya kiangazi.

Tottenham wanaamini De Zerbi ni kocha sahihi kwa mradi wao wa muda mrefu, na ndio sababu wameweka mezani ofa ya mkataba wa miaka mitano ili kumshawishi kukubali jukumu hilo haraka.

More Stories

APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
58m ago
READ MORE β†’
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
4h ago
READ MORE β†’
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
6h ago
READ MORE β†’
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
8h ago
READ MORE β†’
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
10h ago
READ MORE β†’
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
10h ago
READ MORE β†’
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
11h ago
READ MORE β†’
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
13h ago
READ MORE β†’
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
16h ago
READ MORE β†’
UEFA champions league: matokeo ya usiku
UEFA champions league: matokeo ya usiku
23h ago
READ MORE β†’