Kocha mkuu wa Liverpool, Arne Slot, ameanza safari ya kuhitimisha majukumu yake Anfield baada ya kusambaa ripoti kwamba ameutaarifu uongozi wa Liverpool atajiuzulu kama kocha wa klabu mwishoni mwa msimu huu.
Taarifa hizo zimeibuka kutoka kwa vyanzo vinavyohusiana moja kwa moja na mjadala ndani ya klabu na mitandao ya kijamii.
Kwa mujibu wa taarifa zilizochapishwa leo, Slot..... download Xtra 90 App



