Mabingwa watetezi wa kombe la CRDB, Yanga SC, wamefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali ya michuano hiyo baada ya kuibuka na ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya TMA Stars katika mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa KMC Complex.
Katika pambano hilo lililokuwa na ushindani mkubwa, Yanga walilazimika kufanya kazi ya ziada kuivunja safu ngumu ya ulinzi ya TMA Stars. Licha ya kumiliki sehemu..... download Xtra 90 App



