Soko la usajili linaendelea kupamba moto barani Ulaya huku vigogo wa soka wakipambana kusaka vipaji vipya na kuimarisha vikosi vyao kuelekea msimu ujao. Hizi hapa ni tetesi kuu za leo:
Bayern Munich Wamnyemelea Anthony Gordon
Kwa mujibu wa CaughtOffside, Bayern Munich wameonyesha nia ya kumsajili Anthony Gordon kutoka Newcastle United. Winga huyo pia anafuatiliwa kwa karibu na..... download Xtra 90 App



