SAMATTA AENDELEA KUWEKA REKODI ULAYA, AFUNGA BAO LA KWANZA LE HAVRE LIGUE 1

Joel JJ By Joel JJ • 13th April 2026

SAMATTA AENDELEA KUWEKA REKODI ULAYA, AFUNGA BAO LA KWANZA LE HAVRE LIGUE 1

Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania na nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta, ameendelea kuandika historia barani Ulaya baada ya kufunga bao lake la kwanza akiwa na klabu ya Le Havre AC katika Ligi Kuu ya Ufaransa (Ligue 1).

Samatta alifunga bao hilo jana Jumapili, Aprili 12, 2026, katika mchezo uliomalizika kwa sare ya bao 1-1 dhidi ya OGC Nice, uliochezwa katika Uwanja wa Allianz..... download Xtra 90 App

More Stories

Hizi 6 za Yanga na Simba ni vipi?
Hizi 6 za Yanga na Simba ni vipi?
Today, READ MORE →
Nahodha SC Villa auawa na majambazi Uganda
Nahodha SC Villa auawa na majambazi Uganda
Today, READ MORE →
Azam FC yazindua jezi ya nyumbani ya msimu wa 2026/27
Azam FC yazindua jezi ya nyumbani ya msimu wa 2026/27
Today, READ MORE →
Infantino aitisha mkutano wa dharura FIFA kufuatia matamshi ya Wenger
Infantino aitisha mkutano wa dharura FIFA kufuatia matamshi ya Wenger
Today, READ MORE →
BREAKING: Guimaraes atua Arsenal rasmi.
BREAKING: Guimaraes atua Arsenal rasmi.
Today, READ MORE →
Twiga Stars waaga WAFCONkwa kuvunja rekodi ya kihistoria
Twiga Stars waaga WAFCONkwa kuvunja rekodi ya kihistoria
Today, READ MORE →
Salah mbioni kutua Trabzonspor
Salah mbioni kutua Trabzonspor
Today, READ MORE →
Singida BS yasuka upya benchi la ufundi
Singida BS yasuka upya benchi la ufundi
Today, READ MORE →
Barcelona yaandaa jaribio la mwisho kumsajili Julian Álvarez
Barcelona yaandaa jaribio la mwisho kumsajili Julian Álvarez
Today, READ MORE →
Depú huenda akaondoka Yanga, Petro de Luanda yagoma dau
Depú huenda akaondoka Yanga, Petro de Luanda yagoma dau
Yesterday, READ MORE →