Klabu ya Simba SC ya Dar es Salaam inaripotiwa kuwa katika hatua za mwisho kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji wa TRA United, Ramadhan Salum Ramadhan maarufu kama “Chobwedo”, kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka ndani ya uongozi wa klabu hiyo, Simba imefanikiwa kushinda ushindani wa klabu kadhaa zilizokuwa zikimwania mchezaji huyo kutokana..... download Xtra 90 App



