Mechi ya kiporo ya mzunguko wa 17 wa NBC Premier League inatarajiwa kuchezwa kesho Jumatano, Aprili 15 katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Stadium, ambapo Fountain Gate FC watawakaribisha Simba SC katika mchezo unaotarajiwa kuwa na presha kubwa kwa pande zote mbili.
Mchezo huo utaanza saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki, ukiwa ni miongoni mwa michezo muhimu inayoendelea kuchagiza..... download Xtra 90 App



