Simba yampeleka Sowah timu ya vijana

Joel JJ By Joel JJ • 14th April 2026

Simba yampeleka Sowah timu ya vijana

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba SC, Ahmed Ali, amethibitisha kuwa uongozi wa klabu umefikia uamuzi wa kumrudisha mshambuliaji huyo kwenye programu ya vijana baada ya kusimamishwa kutokana na tuhuma za utovu wa nidhamu.

Kwa mujibu wa klabu, Sowah alisimamishwa akiwa kambini mwezi Machi wakati timu ilipokuwa Dodoma ikijiandaa na mchezo wa ligi dhidi ya Dodoma Jiji FC,..... download Xtra 90 App

More Stories

Hizi 6 za Yanga na Simba ni vipi?
Hizi 6 za Yanga na Simba ni vipi?
Today, READ MORE →
Nahodha SC Villa auawa na majambazi Uganda
Nahodha SC Villa auawa na majambazi Uganda
Today, READ MORE →
Azam FC yazindua jezi ya nyumbani ya msimu wa 2026/27
Azam FC yazindua jezi ya nyumbani ya msimu wa 2026/27
Today, READ MORE →
Infantino aitisha mkutano wa dharura FIFA kufuatia matamshi ya Wenger
Infantino aitisha mkutano wa dharura FIFA kufuatia matamshi ya Wenger
Today, READ MORE →
BREAKING: Guimaraes atua Arsenal rasmi.
BREAKING: Guimaraes atua Arsenal rasmi.
Today, READ MORE →
Twiga Stars waaga WAFCONkwa kuvunja rekodi ya kihistoria
Twiga Stars waaga WAFCONkwa kuvunja rekodi ya kihistoria
Today, READ MORE →
Salah mbioni kutua Trabzonspor
Salah mbioni kutua Trabzonspor
Today, READ MORE →
Singida BS yasuka upya benchi la ufundi
Singida BS yasuka upya benchi la ufundi
Today, READ MORE →
Barcelona yaandaa jaribio la mwisho kumsajili Julian Álvarez
Barcelona yaandaa jaribio la mwisho kumsajili Julian Álvarez
Today, READ MORE →
Depú huenda akaondoka Yanga, Petro de Luanda yagoma dau
Depú huenda akaondoka Yanga, Petro de Luanda yagoma dau
Yesterday, READ MORE →