Harakati za usajili barani Ulaya zinaendelea kushika kasi huku vilabu vikubwa vikianza kupanga mipango ya mwisho kuelekea dirisha la majira ya kiangazi. Hizi hapa ni tetesi kuu za leo kutoka vyanzo mbalimbali vya michezo:
Manchester United Wawania Wachezaji wa Bournemouth
Kwa mujibu wa Daily Mail, Manchester United wanawafuatilia kwa karibu mshambuliaji Eli Junior Kroupi na beki..... download Xtra 90 App



