Klabu ya Arsenal FC imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya UEFA Champions League baada ya kuiondoa Sporting CP kwa jumla ya bao 1-0.
Katika mchezo wa pili uliochezwa Emirates, timu hizo zilitoka sare ya bila kufungana, matokeo yaliyotosha kuipa Arsenal tiketi ya kusonga mbele kufuatia ushindi wao wa 1-0 katika mchezo wa kwanza.
Arsenal walionyesha nidhamu kubwa ya kiufundi,..... download Xtra 90 App



