Nyota wa Real Madrid, Vinícius Júnior, alijikuta katika hali isiyo ya kawaida baada ya mechi dhidi ya Bayern Munich katika UEFA Champions League, ambapo alitakiwa kutoondoka na wenzake katika dimba la Allianz Arena kufanyiwa vipimo vya lazima vya matumizi ya dawa zisizo za kimichezo (doping).
Tukio hilo lilitokea mara baada ya filimbi ya mwisho, ambapo Vinicius alitakiwa kwa ajili ya..... download Xtra 90 App



