Kocha na nyota wa zamani wa Chelsea Fc Frank Lampard ameiongoza Coventry City kurejea katika Premier League kwa mara ya kwanza baada ya kupita miaka 25, kufuatia msimu mzuri wa ligi ya EFL Championship.
Coventry ilithibitisha kupanda daraja baada ya kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Blackburn..... download Xtra 90 App



