Kesho Jumapili, Aprili 19, macho ya mashabiki wa soka nchini yataelekezwa katika Uwanja wa Majaliwa ambapo Simba SC watashuka dimbani kuikabili Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu wenye ushindani mkubwa.
Kocha Mkuu wa Simba, Steve Barker, ameweka wazi kuwa kikosi chake kipo tayari kikamilifu kwa ajili ya pambano hilo. Akizungumza na wanahabari kuelekea mchezo huo, Barker alisisitiza kuwa..... download Xtra 90 App



