AS FAR kuchuana na Sundowns fainali ligi ya Mabingwa

Joel JJ By Joel JJ • 19th April 2026

AS FAR kuchuana na Sundowns fainali ligi ya Mabingwa

Klabu ya AS FAR Rabat imefanikiwa kutinga fainali ya CAF Champions League 2026 licha ya kupoteza kwa bao 1-0 dhidi ya RSB Berkane katika mchezo wa mkondo wa pili wa nusu fainali uliochezwa Jumamosi Aprili 18, 2026.

Matokeo hayo hayakuizuia AS FAR kufuzu hatua ya fainali, kwani ilitinga kwa ushindi wa jumla wa mabao 2-1, kufuatia ushindi wa mabao 2-0 walioupata katika mchezo wa..... download Xtra 90 App

More Stories

Hizi 6 za Yanga na Simba ni vipi?
Hizi 6 za Yanga na Simba ni vipi?
Today, READ MORE →
Nahodha SC Villa auawa na majambazi Uganda
Nahodha SC Villa auawa na majambazi Uganda
Today, READ MORE →
Azam FC yazindua jezi ya nyumbani ya msimu wa 2026/27
Azam FC yazindua jezi ya nyumbani ya msimu wa 2026/27
Today, READ MORE →
Infantino aitisha mkutano wa dharura FIFA kufuatia matamshi ya Wenger
Infantino aitisha mkutano wa dharura FIFA kufuatia matamshi ya Wenger
Today, READ MORE →
BREAKING: Guimaraes atua Arsenal rasmi.
BREAKING: Guimaraes atua Arsenal rasmi.
Today, READ MORE →
Twiga Stars waaga WAFCONkwa kuvunja rekodi ya kihistoria
Twiga Stars waaga WAFCONkwa kuvunja rekodi ya kihistoria
Today, READ MORE →
Salah mbioni kutua Trabzonspor
Salah mbioni kutua Trabzonspor
Today, READ MORE →
Singida BS yasuka upya benchi la ufundi
Singida BS yasuka upya benchi la ufundi
Today, READ MORE →
Barcelona yaandaa jaribio la mwisho kumsajili Julian Álvarez
Barcelona yaandaa jaribio la mwisho kumsajili Julian Álvarez
Today, READ MORE →
Depú huenda akaondoka Yanga, Petro de Luanda yagoma dau
Depú huenda akaondoka Yanga, Petro de Luanda yagoma dau
Yesterday, READ MORE →