Mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina, Julian Álvarez, ameripotiwa kuweka wazi nia yake ya kutaka kujiunga na FC Barcelona pekee katika dirisha lijalo la usajili wa majira ya joto.
Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari vya michezo barani Ulaya, Álvarez anaamini kuwa Barcelona ndiyo klabu inayomfaa zaidi kwa hatua inayofuata ya maisha yake ya soka, licha ya kuwapo kwa ofa na nia..... download Xtra 90 App



