Local,Normal News,Simba, Mafunzo

Simba yatua Zanzibar tayari kwa Muungano Cup

Joel JJ By Joel JJ
β€’
22 Apr 2026
Simba yatua Zanzibar tayari kwa Muungano Cup

Kikosi cha Simba kimewasili visiwani Zanzibar tayari kwa michuano ya kombe la Muungano iliyoanza kutimua vumbi jana kwa mchezo wa kwanza wa robo fainali.

Wekundu wa Msimbazi watatupa karata yao siku ya kesho Alhamisi kwa mchezo dhidi ya Mafunzo utakaopigwa saa 2:15 usiku katika uwanja wa New Amaan Complex.

Endapo Simba itafuzu nusu fainali, itakutana na mshindi wa mchezo kati ya Singida BS dhidi ya Mlandege, mechi itakayopigwa mapema kesho.

Huu ni msimu wa tatu tangu michuano hiyo iliporejea ambapo Simba itakuwa ikisaka taji la pili baada ya kuibuka mabingwa katika msimu wa kwanza.

More Stories

Barcelona yaendeleza kichapo Laliga ikimfunga Sevilla, Raphinha hashikiki.
Barcelona yaendeleza kichapo Laliga ikimfunga Sevilla, Raphinha hashikiki.
4h ago
READ MORE β†’
Mamelodi Sundowns yaibuka kidedea mbele ya Al Ahli
Mamelodi Sundowns yaibuka kidedea mbele ya Al Ahli
8h ago
READ MORE β†’
Arsenal yaduwazwa 3-0 na Brighton
Arsenal yaduwazwa 3-0 na Brighton
9h ago
READ MORE β†’
Nyota Stars waingia kambini tayari kwa mechi za kufuzu Afcon 2027
Nyota Stars waingia kambini tayari kwa mechi za kufuzu Afcon 2027
11h ago
READ MORE β†’
Simba kujichimbia Afrika Kusini kujiandaa na Kariakoo Derby
Simba kujichimbia Afrika Kusini kujiandaa na Kariakoo Derby
11h ago
READ MORE β†’
Madrid Derby: Atletico na Real kwenye vita ya majirani
Madrid Derby: Atletico na Real kwenye vita ya majirani
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa rekodi tamu ya Barker Ligi Kuu
Hii hapa rekodi tamu ya Barker Ligi Kuu
17h ago
READ MORE β†’
Sundowns kuchuana na Al Ahli katika vita ya Afrika na Asia
Sundowns kuchuana na Al Ahli katika vita ya Afrika na Asia
18h ago
READ MORE β†’
Ft: Yanga 1-0 St George, Yanga yapata ushindi mechi ya kirafiki.
Ft: Yanga 1-0 St George, Yanga yapata ushindi mechi ya kirafiki.
1d ago
READ MORE β†’
Dockers Derby yarudi baada ya miaka 14, Ulinzi wa London ukiimarishwa.
Dockers Derby yarudi baada ya miaka 14, Ulinzi wa London ukiimarishwa.
1d ago
READ MORE β†’