Local,Normal News,Yanga, Simba, Azam, Singida BS

Ukarabati mkubwa waanza katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Joel JJ By Joel JJ
β€’
27 Apr 2026
Ukarabati mkubwa waanza katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Hatua muhimu imeanza kuchukuliwa katika kuimarisha miundombinu ya michezo nchini Tanzania baada ya kuanza rasmi kwa ukarabati mkubwa wa Uwanja wa Benjamin Mkapa, ukiwa ni sehemu ya maandalizi ya kuelekea michuano mikubwa ya Mataifa ya Afrika, AFCON 2027.

Maboresho hayo yanahusisha eneo la kuchezea (pitch), ambapo kazi ya kubadilisha na kuboresha nyasi inalenga kufikia viwango vya kimataifa vinavyotakiwa na mashirikisho ya soka duniani. Kwa mujibu wa ratiba ya ukarabati, shughuli hizi zinatarajiwa kuchukua takribani miezi sita kukamilika.

Kutokana na mchakato huo, uwanja huo hautatumika kwa shughuli zozote za michezo katika kipindi chote cha ukarabati ili kuruhusu nyasi mpya kustawi na kuimarika ipasavyo.Β 

More Stories

APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
6h ago
READ MORE β†’
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
10h ago
READ MORE β†’
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
11h ago
READ MORE β†’
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
13h ago
READ MORE β†’
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
16h ago
READ MORE β†’
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
16h ago
READ MORE β†’
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
16h ago
READ MORE β†’
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
18h ago
READ MORE β†’
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
22h ago
READ MORE β†’
UEFA champions league: matokeo ya usiku
UEFA champions league: matokeo ya usiku
1d ago
READ MORE β†’