Soko la usajili barani Ulaya linaendelea kupamba moto huku vilabu vikubwa vikijiandaa kwa dirisha la majira ya kiangazi. Leo Jumatano, Mei 6, 2026, tetesi kutoka vyombo vikubwa kama BBC Sport, Sky Sports na Talksport zinaangazia sajili ambazo zinawezekana kukamilishwa majira ya kiangazi.





