Klabu ya Bayern Munich, leo Jumatano inashuka dimbani kwenye mtanange mzito wa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Paris Saint-Germain (PSG), mchezo unaotajwa kuwa wa “kufa au kupona” kwa miamba hao wa Ujerumani.
Mchezo huo wa mkondo wa pili unachezwa katika dimba la Allianz Arena, huku Bayern wakiwa na kazi kubwa ya kupindua matokeo baada ya kufungwa 5-4 katika mchezo wa..... download Xtra 90 App



