Goli lililofungwa na kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Clatous Chama, katika mchezo wa Kariakoo Derby dhidi ya Yanga SC limeendelea kuzua mjadala mkubwa mitandaoni na miongoni mwa wadau wa soka, likipigiwa chapuo kuwa huenda likafaa kuwania tuzo ya FIFA Puskás inayotolewa kwa goli bora la mwaka.
Goli hilo ambalo lilifungwa katika mchezo mkali na wenye ushindani mkubwa kati ya vigogo hao..... download Xtra 90 App



