Klabu ya FC Barcelona imetawazwa rasmi kuwa mabingwa wa La Liga kwa mara ya 29 baada ya kuifunga Real Madrid mabao 2-0 katika mchezo wa El Clásico uliokuwa na uzito mkubwa wa ubingwa. Ushindi huo umeifanya Barcelona kutwaa taji la ligi kwa misimu miwili mfululizo, huku wakifanya hivyo mbele ya wapinzani wao wakubwa kabisa katika soka la Hispania.
Kabla ya mchezo huo mkubwa, taarifa za..... download Xtra 90 App



