Kocha wa zamani wa Bayer Leverkusen na Real Madrid, Xabi Alonso, ameibuka kuwa jina kubwa linalotajwa sana ndani ya klabu ya Chelsea FC kama mgombea mkuu wa kuongoza benchi la ufundi la klabu hiyo ya Premier League.
Kwa mujibu wa taarifa, Chelsea imeanza mazungumzo ya awali na Alonso kuhusu uwezekano wa kumkabidhi majukumu ya ukocha mkuu baada ya klabu hiyo kuendelea kutafuta utulivu wa..... download Xtra 90 App



