Inter Milan wameendelea kuthibitisha ubabe wao nchini Italia baada ya kutwaa taji la 10 la Coppa Italia kufuatia ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Lazio katika fainali iliyochezwa usiku wa Jumatano, Mei 13, 2026 kwenye dimba la Stadio Olimpico mjini Rome.
Mabingwa hao wa Serie A waliingia uwanjani wakiwa na morali kubwa baada ya tayari kutwaa Scudetto wiki iliyopita, na walionyesha ubora wao..... download Xtra 90 App



