Timu ya taifa ya Ufaransa imeweka wazi kikosi chake rasmi cha wachezaji 26 watakaoshiriki Kombe la Dunia 2026 litakalofanyika Marekani, Canada na Mexico. Kocha Didier Deschamps ameunda kikosi chenye mchanganyiko wa uzoefu, vipaji vya vijana na nyota wanaocheza katika vilabu vikubwa Ulaya.
Mashabiki wengi wanaamini kuwa Ufaransa ni miongoni mwa timu zenye nafasi kubwa ya..... download Xtra 90 App



