Shirikisho la Kandanda la Brazil (Confederação Brasileira de Futebol) limetangaza rasmi kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya Brazil, Carlo Ancelotti, amesaini mkataba mpya wa miaka minne utakaomuweka katika nafasi hiyo hadi Julai 2030.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, makubaliano hayo mapya yanakuja baada ya CBF kuridhishwa na mwelekeo wa kiufundi wa kocha huyo mwenye uzoefu mkubwa katika..... download Xtra 90 App



