Usiku wa leo macho ya Afrika yote yataelekezwa kwenye dimba la Cairo International Stadium, ambapo Zamalek SC watakuwa wakisaka comeback dhidi ya USM Algerkatika mchezo wa marudiano wa fainali ya CAF Confederation Cup 2025/26.
USM Alger wanaingia mchezo huu wakiwa mbele kwa ushindi wa 1-0 walioupata Algeria wiki iliyopita. Bao hilo lilifungwa dakika za mwisho kupitia penalti yenye utata..... download Xtra 90 App



