Msimu wa Premier League 2025/26 umehitimishwa rasmi baada ya siku ya mwisho iliyokuwa na drama, mshangao, furaha na huzuni katika viwanja mbalimbali nchini England. Mashabiki walishuhudia matokeo makubwa, rekodi mpya zikivunjwa, pamoja na mabadiliko muhimu katika nafasi za mwisho za msimamo wa ligi. Mwisho wa msimu huu umeacha simulizi ambazo zitakumbukwa kwa miaka mingi, huku Arsenal..... download Xtra 90 App



