Mashabiki wa Manchester City wameagana kwa hisia kubwa na kocha wao wa muda mrefu, Pep Guardiola, aliyemaliza rasmi safari yake ndani ya klabu hiyo baada ya zaidi ya miaka 10 ya mafanikio makubwa nchini England na barani Ulaya.
Katika mchezo wa mwisho wa msimu dhidi ya Aston Villa uliochezwa Etihad Stadium, hali ya uwanja ilitawaliwa zaidi na shughuli za kumuaga Guardiola kuliko matokeo..... download Xtra 90 App



