Historia imeandikwa rasmi! Crystal Palace wamefanikiwa kutwaa taji lao la kwanza la Ulaya baada ya kuibuka mabingwa wa UEFA Conference League 2025/26, wakimshinda Rayo Vallecano kwa bao 1-0 kwenye fainali iliyopigwa Leipzig.
Fainali ilivyokuwa
Mechi ilikuwa ya ushindani mkubwa, ambapo kipindi cha kwanza kilimalizika bila mabao. Palace waliingia kipindi cha pili kwa nguvu zaidi na..... download Xtra 90 App



