Vita ya usajili kati ya vigogo wawili wa La Liga, FC Barcelona na Atlético Madrid, imezidi kupamba moto baada ya klabu hizo kuingia kwenye mvutano mkali kuhusu mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina, Julián Álvarez.
Kwa mujibu wa taarifa, Barcelona wameonyesha nia ya dhati ya kumsajili nyota huyo mwenye umri wa miaka 26, wakimwona kama suluhisho la muda mrefu katika safu yao ya..... download Xtra 90 App



