Macho ya dunia ya soka leo Jumamosi, Mei 30, 2026 yataelekezwa jijini Budapest, Hungary ambapo miamba miwili ya Ulaya, Paris Saint-Germain (PSG) na Arsenal, zitakutana katika fainali ya UEFA Champions League kwenye dimba la Puskás Aréna.
PSG wanaingia kwenye mchezo huo wakiwa mabingwa watetezi wa michuano hiyo baada ya kutwaa taji lao la kwanza msimu uliopita, huku Arsenal wakisaka..... download Xtra 90 App



