Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta, amewapongeza wachezaji wake kwa kupambana kwa moyo mkubwa msimu mzima licha ya kushindwa kutwaa ubingwa wa UEFA Champions League baada ya kupoteza kwa mikwaju ya penalti dhidi ya Paris Saint-Germain (PSG) katika fainali iliyochezwa jijini Budapest.
Arsenal walikuwa karibu kuandika historia baada ya kuongoza mapema kupitia bao la Kai Havertz, lakini PSG..... download Xtra 90 App



