Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa misimu minne mfululizo, Young Africans SC, wanatajwa kuonyesha nia ya kumsajili beki wa kati wa TRA United FC, Nassri Kombo, kuelekea dirisha kubwa la usajili la msimu ujao.
Kombo, mwenye umri wa miaka 23, amekuwa miongoni mwa wachezaji waliovutia zaidi msimu huu kutokana na kiwango chake thabiti akiwa na TRA United. Uwezo wake wa kucheza kwa..... download Xtra 90 App



