Shirikisho la Soka la England (FA) linakabiliwa na moja ya maamuzi magumu zaidi kabla ya Kombe la Dunia 2026, huku likitafakari namna ya kushughulikia suala la salamu za kabla ya mechi wakati England itakapocheza dhidi ya Ghana Juni 23 jijini Boston. Mjadala huo umeibuka kutokana na uwepo wa kiungo wa Ghana, Thomas Partey, ambaye anakabiliwa na mashtaka mazito ya jinai lakini bado hajahukumiwa..... download Xtra 90 App



