Kiungo wa Arsenal FC na timu ya taifa ya England, Declan Rice, amepewa jukumu jipya la uongozi baada ya kuteuliwa kuwa makamu nahodha wa timu hiyo kuelekea Kombe la Dunia la 2026.
Uthibitisho huo umetolewa na kocha mkuu wa England, Thomas Tuchel, ambaye amesema Rice atakuwa msaidizi mkuu wa nahodha katika kikosi chake kipya.
βKuanzia leo, Declan Rice ndiye makamu nahodha..... download Xtra 90 App



