Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga SC, wametajwa kuingia kwenye mbio za kuwania saini ya beki wa kushoto wa Mouna FC ya Ivory Coast, Samba KonΓ©, kuelekea dirisha kubwa la usajili la msimu ujao.
Yanga inamuona KonΓ© mwenye umri wa miaka 23 kama mbadala sahihi wa beki wa DR Congo, Chadrack Boka, ambaye mkataba wake unatarajiwa kumalizika mwishoni mwa msimu huku kukiwa na..... download Xtra 90 App



