Klabu ya karne, Al Ahly, imefikia makubaliano ya awali na kocha raia wa Morocco, Hussein Ammouta, kuchukua nafasi ya ukufunzi wa timu hiyo kwa mkataba wa miaka miwili wenye thamani ya takribani dola $210,000 kwa mwezi.
Kwa mujibu wa taarifa, mkataba huo unajumuisha kipengele cha kuvunja mkataba wakati wowote, ambapo klabu italazimika kulipa mishahara ya miezi mitatu kama fidia ya kumaliza..... download Xtra 90 App



