Mustakabali wa mshambuliaji wa England, Marcus Rashford, ndani ya Barcelona unaendelea kuwa wa sintofahamu baada ya klabu hiyo kuonekana kutokuwa tayari kutumia kipengele cha ununuzi wa moja kwa moja chenye thamani ya euro milioni 30 kilichowekwa katika makubaliano yake ya mkopo kutoka Manchester United.
Taarifa zinaeleza kuwa Barcelona imeamua kutofanya uamuzi wa kumnunua Rashford kwa..... download Xtra 90 App



