Local,Normal News,Yanga, Simba, Azam

Okello mchezaji bora Mei, Barker kocha bora

Joel JJ By Joel JJ
11 Jun 2026
Okello mchezaji bora Mei, Barker kocha bora

Kiungo  mshambuliaji wa Yanga Allan Okello amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa ligi kuu ya NBC kwa mwezi Mei 2026.

Okello ametwaa tuzo hiyo akiwashinda Clatous Chama wa Simba na Feisal Salum wa Azam Fc.

Katika mwezi huo Okello alifunga mabao 9 na kutoa pasi moja ya bao.

Aidha kocha wa Simba Steve Barker yeye ametangazwa kuwa kocha bora wa mwezi Mei 2026.

Katika mwezi huo Barker aliiongoza Simba kwenye mechi sita akishinda tano na kutoka sare mchezo mmoja na kuisaidia timu yake kubaki kwenye nafasi ya pili.

Barker amewabwaga Florent Ibenge wa Azam Fc na Fredy Minziro wa Fountain Gate alioingia nao fainali

Meneja wa uwanja wa Airtel, Singida Omary Malule amechaguliwa kuwa Meneja bora wa uwanja kwa Mei.

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
9m ago
READ MORE →
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
38m ago
READ MORE →
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE →
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE →
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE →
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE →
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE →
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE →
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE →
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE →