Timu ya taifa ya Uingereza imejikuta katika wakati mgumu baada ya taarifa kuthibitisha kuwa vifaa vyake muhimu vya mazoezi na mechi vimeibwa wakati wa maandalizi ya Kombe la Dunia 2026 nchini Marekani, hatua iliyoshtua wadau wa soka duniani.
Kwa mujibu wa taarifa, tukio hilo lilitokea wakati vifaa vya timu hiyo vilipokuwa vikisafirishwa kutoka kambi yao ya mazoezi huko Florida kuelekea..... download Xtra 90 App



