Bara la Afrika limepata ushindi wake wa kwanza katika Kombe la Dunia 2026 baada ya Ivory Coast kuibuka na ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya Ecuador katika mchezo wa Kundi E uliochezwa Jumapili usiku.
Bao pekee la mchezo huo lilifungwa na nyota wa Manchester United Amad Diallo limetosha kuwapa Ivory Coast pointi tatu muhimu na kuifanya kuwa timu ya kwanza kutoka Afrika kuonja ladha ya..... download Xtra 90 App



