Shirikisho la Soka la Tunisia limemteua kocha raia wa Ufaransa, Hervé Renard, kuwa kocha mkuu mpya wa timu ya taifa ya nchi hiyo kwa mechi zilizobaki za Kombe la Dunia 2026, kufuatia kufutwa kazi kwa Sabri Lamouchi baada ya kipigo kizito cha mabao 5-1 kutoka kwa Sweden kwenye mchezo wa kwanza wa Kundi F.
Kwa mujibu wa taarifa, Renard anatarajiwa kuwasili kambini kesho kukamilisha..... download Xtra 90 App



