Nguli wa soka duniani na mchambuzi wa soka, Thierry Henry, amemtetea Lionel Messi kufuatia mjadala mkubwa ulioibuka kuhusu tukio lake kwenye mchezo wa kombe la Dunia dhidi ya Algeria ambalo baadhi ya mashabiki na wachambuzi walidai lilistahili kadi nyekundu.
Akizungumzia uamuzi wa waamuzi pamoja na matumizi ya VAR katika tukio hilo, Henry alisema kuwa nia ya mchezaji ni jambo muhimu sana..... download Xtra 90 App



