Klabu ya Singida Black Stars ipo kwenye hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa mshambuliaji raia wa Ghana, Jonathan Sowah, ambaye kwa sasa anaitumikia Simba SC.
Taarifa kutoka vyanzo vya karibu na mchakato huo zinaeleza kuwa mazungumzo kati ya pande husika yanaendelea vizuri huku Singida Black Stars ikionekana kuwa na nafasi kubwa ya kumrejesha nyota huyo kuelekea msimu..... download Xtra 90 App



