Msimu mpya wa Ligi Kuu ya England (Premier League) 2026/27 umefahamika, ni baada ya ratiba kutolewa rasmi ikionyesha mechi kadhaa kubwa zitakazoanza Ijumaa Agosti 21, 2026.
Kwa mujibu wa ratiba hiyo, msimu utaanza rasmi na mchezo kati ya Arsenal dhidi ya Coventry City saa 8:00 usiku, kabla ya michezo mingine mikali kuendelea hadi Jumatatu usiku.





