Nyota wa Miguel Almirón ameandika historia ya aina yake katika mashindano ya Kombe la Dunia baada ya kuonyeshwa kadi nyekundu kutokana na kitendo cha kuzungumza na mchezaji wa timu pinzani huku akiziba mdomo, katika mchezo uliowakutanisha Paraguay na Turkey.
Tukio hilo limetokana na utekelezaji wa kanuni mpya za nidhamu zilizotangazwa na FIFA kabla ya kuanza kwa mashindano hayo, ambazo..... download Xtra 90 App



