Klabu ya Real Madrid imetoa taarifa rasmi ikikanusha ripoti zilizosambaa katika vyombo mbalimbali vya habari zikidai kuwa imefikia makubaliano ya masharti binafsi na winga wa Bayern Munich, Michael Olisé.
Kupitia taarifa hiyo, mabingwa hao wa kihistoria barani Ulaya wamesema hawajawahi kufanya mawasiliano yoyote, ya moja kwa moja wala yasiyo ya moja kwa moja, na mchezaji huyo au mawakala..... download Xtra 90 App



