Timu ya taifa ya Cape Verde imeendelea kuandika historia katika Kombe la Dunia 2026 baada ya kutoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya Uruguay katika mchezo wa Kundi H uliochezwa mjini Miami, Marekani.
Wengi waliitarajia Uruguay, mabingwa wa dunia mara mbili, kupata ushindi muhimu baada ya sare ya 1-1 dhidi ya Saudi Arabia katika mechi yao ya kwanza. Hata hivyo, Cape Verde ilionyesha tena kuwa si..... download Xtra 90 App



