Timu ya taifa ya Misri imeandikisha ushindi katika Kombe la Dunia 2026 baada ya kuichapa New Zealand mabao 3-1 katika mchezo wa Kundi G uliochezwa Vancouver.
Huo ulikuwa ushindi wa kwanza wa Misri katika historia ya mashindano hayo, na uliwapa uongozi wa kundi hilo kwa pointi nne.
New Zealand waanza kufunga
New Zealand walikuwa wa kwanza kupata bao kupitia beki Finn Surman,..... download Xtra 90 App



