Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza uligeuka kuwa eneo la huzuni kwa Young Africans (Yanga) usiku wa Juni 21, 2026, baada ya timu hiyo kuondolewa katika hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank kwa kufungwa mabao 3-2 na Azam FC. Mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa ulitoa burudani ya hali ya juu kwa mashabiki, huku matokeo yakibadilika mara kadhaa kabla ya mshindi kupatikana..... download Xtra 90 App



